Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Na iwe hivyo milele daima[emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiamua kuwa na busara unakuwa na busara kweli kweli...na ukiamua kufyatuka unafyatuka kweli kweli. Yote uliyosema ni kweli na jina la Mungu na lihimidiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kombe la KagameAti nini?
Sijawahi ona hii. Mkeka nitandaze miye halafu weye utoke huko uje kudandia...
Subiri Jumapili ipite nawe utandaze mkeka wako. Bado kuna ligi zingine hapa hapa kwetu Bongo. Tandaza mkeka hata kwenye michezo mingine mf. ngumi n.k.
Anaza styudenti...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lecture za leo zko nondo kweli kweli,, sijutii kuchukua form yako ya darasa,,
Wadada wa siku hz bhna ni wachache sana haya mambo kuyafahamu,, wao wanachokijua wakifanikisha kujfungua salama,, na kitoto kikawa na muonekano +kichwa cha kunyolewa kiduku bhasi kamaliza,, huko IG,FB whatsapp full kuuzishwa sura kumbe kuna vtu vya msingi km wanatakiwa kufatilia...
Live Longer Pyaar,,, [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro komaa na mkeka wako bhnaAti nini?
Sijawahi ona hii. Mkeka nitandaze miye halafu weye utoke huko uje kudandia...
Subiri Jumapili ipite nawe utandaze mkeka wako. Bado kuna ligi zingine hapa hapa kwetu Bongo. Tandaza mkeka hata kwenye michezo mingine mf. ngumi n.k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], siku pumzi ikikata sie hatutakuwepo.Weeee... Weeee... Sijawahi sifiwa uzuri wa sura mimi. Nina yamudu maana ndio kinga yangu.Hela,sura nzuri sina,lakini....sirii okuloko zinatoka wizini tuu awazi. Am guudi kwenye pumzi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kumtisha mzee wangu,,
Nimekupata mkuu, Maana wanawake wa leo hawajui namna ya kuwaanda vichanga ktk ubebaji na namna nyingine ya kuwarebisha wasipinde viungo. Anastazia Kaijage adumu kwa kunifunza hayo.Wanne
Weeee... Weeee... Sijawahi sifiwa uzuri wa sura mimi. Nina yamudu maana ndio kinga yangu.Hela,sura nzuri sina,lakini....sirii okuloko zinatoka wizini tuu awazi. Am guudi kwenye pumzi...
Aende huko akatandaze mkeka wake huko kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kombe la Kagame
DEAL DONE:
-Klabu ya Liverpool imekamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa Uswisi, Xherdan Shaqiri kutoka klabu ya Stoke City kwa dau £13.5m. Shaqir amesaini kandarasi ya miaka mitano.
@yossima Sitta Jr.