Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], siku pumzi ikikata sie hatutakuwepo.
Mara paaap mnasoma kwenye Ijumaa Wikienda au Amani kuwa Mzee mmoja wa Kinyakyusa amekutwa amezima somewhere kwenye lodge watu mtaanza kuwa na wasiwasi hata kama siyo shemeji yangu huyu. God forbid [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
HATIMAYE Riyad Mahrez ametua Manchester City kwa ada ya Pauni 60 milioni. Mahrez unakuwa usajili wa kwanza wa Kocha Guardiola wa Man City tangu ilipobeba ubingwa wa Ligi Kuu England msimu uliopita, lakini dili hilo likimfanya staa huyo wa Algeria kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye kikosi hicho cha Etihad. Kwenye rekodi zake huko Leicester City, Mahrez amefunga mabao 48 katika mechi 179, mabao yake 39 akifunga kwenye Ligi Kuu England na hilo ndilo lililoifanya Man City kutumia pesa nyingi hivyo kunasa huduma yake.
 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mjane aliyefahamika kwa jina la Nyawamba Dohoi anayekadiriwa kuwa na miaka 61 ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana nyakati za usiku akiwa amelala na wajukuu zake wawili wadogo nyumbani kwake katika kijiji cha Ilebelebe wilayani Kishapu.
Hili bado ni tatizo kanda ya ziwa
 
Lakini, kwa msimu uliopita Mahrez alihusika kwenye mabao 22 tu, akifunga 12 na kuasisti 10.

Hiyo ina maana ukiweka mkwanja aliosajiliwa mezani na kugawanya kwa kila bao alilohusika nalo msimu uliopita, Man City itakuwa imenunua kila bao moja alilohusika Mahrez kwa Pauni 2.7 milioni.
 
Kocha Antonio Conte, ameongeza idadi ya makocha walioipa ubingwa Chelsea na kutimkuliwa msimu uliofuata baada ya kushindwa kurudia mafanikio.
Kocha huyo amekuwa wa sita kufungashiwa virago katika misimu nane, kuanzia mjsimu wa 2009/10 wa kwanza alikua Carlo Ancelotti, Roberto Mancini, Jose Mourinho, Claudio Ranieri na sasa Conte.
 
Ilipendaza kama wangekaa kama Alex Ferguson, ambaye alistaafu kwa heshima baada ya kukaa Old Trafford miaka 25 na kuipa Ubingwa wa mwisho msimu wa 2010-11, Manuel Pellegrini aliipa Manchester City ubingwa wa 2013-14 na kutimuliwa.
 
Xherdan Shaqiri

Nanukuu " Nilitaka kuja Liverpool mwaka 2014 baada ya World Cup na Brendan Rodgers alinihitaji sana na niliwasiliana nae sana lakini Bayern Munich walinizuwia kuja Liverpool na kuni chagulia mahala wanapo taka wao " mwisho wa kunukuu.

Kwa mujibu wa taarifa makubaliano baina ya Liverpool na Stock City kuhusu dau la uhamisho kwa Shaqiri limesha kubaliwa ambalo ni sawa na £13 na hatua ya vipimo itakuwa ndani ya Wiki hii japo inasemekana itakuwa leo Ijumaa.

Ikumbukwe Shaqiri alikuwepo jana viunga vya Anfield kuzungumzia mustakabali wake na makubaliano mengine binafsi na mabosi wa Liverpool hii ni kwa mujibu wa mwana habari makini mwana Dada Melisa Reddy.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Tangu bilionea Roman Abramovich ainunue Chelsea mwaka 2003 ameshabadili makocha 11 na nin saba tu kati yao waliotwaa mataji.
Bilionea huyo kutoka Russia, anaokena haelewi chochote kuhusu neno uvumilivu katika medani ya soka.
 
446303406_194983.jpg
 
Back
Top Bottom