Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema buraza. Za siku mbili tatu?
Mungu ni mwema ndugu yangu. Tumshukuru kwa zawadi ya pumzi anayo tupa bure pasi kutuhesabia maovu tuyafanyayo kila wakati.
Laiti Mungu angeamua kutumia "cancelling method" yaani baya lifutwe na jema,hakika hata huu uzi nisingeujua...ningesha kufa zamaaani huko...mema yamezidiwa na maovu.
Kusudi la Mungu juu yetu likatimie sio sawa sawa na matendo yetu,bali vile atakavyoona inafaa[emoji120] [emoji120]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…