Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa heshima kubwa niungane na Rais wetu kwa kazi kubwa anayofanya kuibadilisha Tanzania, ninafuraha sana kwa kuweka kodi kwa wasanii nchini, kundi hili lilisahaulika na lilitumiwa bila kuingiza faida kwa taifa...

Watumishi nchini wakatwa kodi zaidi ya 25%, wafanyabiashara tunakatwa kodi zaidi ya kumi kwa biashara moja. Kwenye demokrasia tuliwambia jamani shirikini kukemea, wakatuona wajinga na kwamba haiwahusu, Kwenye sheria ya Mitandao tukawambia wakatuona wajinga kwamba haiwahusu, kwenye uminyaji vyombo vya habari tukawambia lakini wakatuona wajinga kabisa kwamba wao haiwahusu,

Wenzetu hawa wasanii wakaendelea kuimba iyena iyena tu, Naam, namshukuru Rais wangu kwakuwasaidia wasanii kukua kiakili.... Siku nyingine tukiwaambia twendeni hivi watatuelewa... Kanya twende baba Magu, sie wanasiasa tunakuunga mkono kabisa baba!!!!

Na Yericko Nyerere
NGOJA WAKOMAE KIAKILI NAO
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uji
20180714_010048.jpg
 
Back
Top Bottom