andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata wewe andaeitini inosenti ushakumbana nazo eeh...Jamani dunia hii dah !!![emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Niwe tu mkweli...
Shimba umeniharibia binti zangu,Numbisa alikufunza ujasiri wa kukabiliana na mahataz... Ajabu ya alicho kipata kutoka kwako sasa...hata hakashikiki...yaani kamekuwa "kanzawisa" kuliko hata ka Scola ka Bozi Boziana