Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara paaap mnasoma kwenye Ijumaa Wikienda au Amani kuwa Mzee mmoja wa Kinyakyusa amekutwa amezima somewhere kwenye lodge watu mtaanza kuwa na wasiwasi hata kama siyo shemeji yangu huyu. God forbid [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba nisihusishwe na kichwa cha habari chochote kwenye hayo mambo,ni humu tu yanatokea. Mungu anisamehe kwa hii dhambi ya kunena.
 
Mechi za hivi zinaharibu ustawi wa nyasi mtu utadhan barabara inapitiwa na wengi kumbe makombora huwa mazito mpaka mizizi ya nyasi inagoma kustawisha bustan mwanana

[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba inaacha mahandaki yasiyoeleweka kama yalikuwa ya vita ama ya machimbo.
 
Kwenye uzi huu bila kukomaa aisee hufiki popote. Mkeka wangu ni guarantee kabisa bila kujali matokeo halafu jamaa anataka kuniharibia. Noooo wei [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli bhna mkeka wako umeusotea sana,, hlf leo kirahisi rahisi tu Davet auchukue,,
 
Mechi za hivi zinaharibu ustawi wa nyasi mtu utadhan barabara inapitiwa na wengi kumbe makombora huwa mazito mpaka mizizi ya nyasi inagoma kustawisha bustan mwanana

[emoji125][emoji125][emoji125]
Hata wewe andaeitini inosenti ushakumbana nazo eeh...Jamani dunia hii dah !!![emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom