Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini unaamini na unajua kuwa huu ni utani buraza. Mimi mwenyewe siku nikikutana na memba wa uzi huu hataamini. Tunapiga jaramba tu hapa na kweli Mungu Atusamehe kama tunamkwaza Yeye na wengineo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hawa watoto wanatufanya tusizeeke nyuso zetu maana muda wote nacheka tu.
Mungu aendelee kutujaalia afya njema wote humu ndani.
 
Back
Top Bottom