[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani kasema?Injini oni tayari?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu fumba macho nikuombee ankooView attachment 808822
NGOJA WAKOMAE KIAKILI NAOKwa heshima kubwa niungane na Rais wetu kwa kazi kubwa anayofanya kuibadilisha Tanzania, ninafuraha sana kwa kuweka kodi kwa wasanii nchini, kundi hili lilisahaulika na lilitumiwa bila kuingiza faida kwa taifa...
Watumishi nchini wakatwa kodi zaidi ya 25%, wafanyabiashara tunakatwa kodi zaidi ya kumi kwa biashara moja. Kwenye demokrasia tuliwambia jamani shirikini kukemea, wakatuona wajinga na kwamba haiwahusu, Kwenye sheria ya Mitandao tukawambia wakatuona wajinga kwamba haiwahusu, kwenye uminyaji vyombo vya habari tukawambia lakini wakatuona wajinga kabisa kwamba wao haiwahusu,
Wenzetu hawa wasanii wakaendelea kuimba iyena iyena tu, Naam, namshukuru Rais wangu kwakuwasaidia wasanii kukua kiakili.... Siku nyingine tukiwaambia twendeni hivi watatuelewa... Kanya twende baba Magu, sie wanasiasa tunakuunga mkono kabisa baba!!!!
Na Yericko Nyerere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani kasema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa namuona aisee,, siku akiamua kujilpua anajlipua kwel kwel, unaweza mkataa sio yyShiro bado yuko vile vile? Kuna siku akiwakaga yaani anawaka kweli kweli. Uzi huu hakuna mwenye unafuu labda Malkia wetu tu basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Vipi Bobbi kafungwa? Nataka nizame tuition saa hii! [emoji1][emoji1]
Heeh!!!Mida ya kukazwa
[emoji961][emoji961][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji961]
Jamaniiii....Mida ya kukazwa
[emoji961][emoji961][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji961]
Good luck Mwalimu [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]Muwe na usiku mwema.....
Nawe unaenda kukaza bro?Duuuuuuuh ngoja niwakimbie
Tena inaovahiti kabisaaa....Injini oni tayari?!!
Role model kwa maserial killers...
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji101][emoji125]Good luck Mwalimu [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]View attachment 808827
787-8 {Boeing}Dream Liner