Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gari la halmashauri ya Meatu limepata ajali mkiwa ikungi likitokea Dodoma lilikuwa na madiwani na mkurugenzi wa halmashauri ya Meatu walikuwa 8 kwenye gari watu wawili wamefariki dunia dereva na diwani wa kata ya Mwanuzi.
 
Ukiwa jeuri kuna jeuri zaidi yako
Gari liliondoka kariako kufika manzese konda akauliza kunamtu anashuka?
Dada moja akajibu tumeziacha nyumbani.tunamitandio tu!
Kufika mbele yule dada alie jibu nyodo akawa anashuka ubungo maziwa,akasema konda nashuka maziwa,konda akasema kayanunulie sidiria yasishuke...tembea dereva...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahakama ya juu nchini Ujerumani imeamuru kuwa wazazi wa binti aliyefariki wapate haki za kuingia kwenye akaunti ya Facebook ya binti yao, kwa mujibu wa sheria za mirathi nchini humo
 
Director Marina Granovskaia added: ‘We are delighted to welcome Maurizio and are looking forward to him bringing his football philosophy to Chelsea.

‘Maurizio’s Napoli side played some of the most exciting football in Europe, impressing with their attacking approach and dynamism, and his coaching methods significantly improved the players at his disposal.

‘He has plenty of experience in Serie A and the Champions League and we know he is relishing the chance to work in the Premier League.’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…