mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mahakama ndogo iliwaunga mkono wazazi mwaka 2015, ikieleza kuwa data za muhusika katika facebook ziko kwenye sheria ya mirathi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], konda nina 200 nakwenda Makumbusho...Ukiwa jeuri kuna jeuri zaidi yako
Gari liliondoka kariako kufika manzese konda akauliza kunamtu anashuka?
Dada moja akajibu tumeziacha nyumbani.tunamitandio tu!
Kufika mbele yule dada alie jibu nyodo akawa anashuka ubungo maziwa,akasema konda nashuka maziwa,konda akasema kayanunulie sidiria yasishuke...tembea dereva...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], konda nina 200 nakwenda Makumbusho...
Kondakta: Hiyo 200 nunua parachichi uteleze nalo mpaka Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja broSafi sana mkuu, weekend ipo pouwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utaumiaLeo mie team England, man u(EPL) kwanza wengine (lukaku na felain)baadae
Pamoja sanaPamoja bro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata ile siku france vs belgium niliambiwa hivyo ujueee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utaumia