Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
hahahaha, upo England leo?Weekend ni moto moto
hahahaha, upo England leo?Weekend ni moto moto
Mimi nshakwambia bana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata ile siku france vs belgium niliambiwa hivyo ujueee
Aaah huko sikua shabiki wa england, nilikua portugal na spain,nikahamia france,sasa leo sina timu so nimehamia EPL kwa muda. Kesho na France kama kawaMimi nshakwambia bana.
Mechi iliyopita mlijifanya eti mmeacha Belgium ishinde ili msikutane na Brazil....
Leo sijui mtasemaje
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Leo mie team England, man u(EPL) kwanza wengine (lukaku na felain)baadae
PoaAaah huko sikua shabiki wa england, nilikua portugal na spain,nikahamia france,sasa leo sina timu so nimehamia EPL kwa muda. Kesho na France kama kawa
Team Belgium leo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah huko sikua shabiki wa england, nilikua portugal na spain,nikahamia france,sasa leo sina timu so nimehamia EPL kwa muda. Kesho na France kama kawa