Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], konda nina 200 nakwenda Makumbusho...
Kondakta: Hiyo 200 nunua parachichi uteleze nalo mpaka Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amepoteza wafuasi milioni 2 kwenye mtandao wa Twitter kufuatia kampuni hio kufanya kampeni ya kuondoa watumiaji bandia (bots). Kampeni ya kuondoa watumiaji bandia wa mtandao wa Twitter inatajwa kuathiri watu wengi mashuhuri Duniani.
 
Ujio wa Christiano Ronaldo katika klabu ya Juventus umeongeza wafuasi zaidi wanaoifuatilia hasa kwenye mitandao ya kijamii, ukurasa wa twitter wa klabu hiyo umepata wafuasi wapya (Followers) milioni 1.1, Instagram milioni 1.4 na Facebook wafuasi 550,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…