Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446707155_48053.jpg
 
Mimi nina vitabu kabisa. Nikipata soft copy nitakushtua. Nina hard copy hapa ya Century of Slaughter kina maserial killers wote.

Ted Bundy anavutia kwa sababu alikuwa smart sana tena mwenye bashasha mpaka mabinti wengine walikuwa wakimzindua kabisa kwa kumpeleka kwa wazazi wao kumtambulisha utafikiri Davet kumbe ndo anaenda kuwaua...Wanasaikolojia walimfanyia intavyuu nyingi sana kutaka kujua hasa maserial killers wanavyofikiri na hata kuendesha mambo yao.
Hahahha aisee story ya huyu jamaa inavutia sana,,, hana tofauti na yule jamaa aliyewasumbua sana FBI ambaye kuna kipnd alikuwa ana Act km Rubani wa ndege mzee wa kujrusha na watt wazuri

Ukiipata hyo soft Copy ntumie bro
 
Back
Top Bottom