moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]NIMETOKA KUNUNUA PETROL NIMEBAKISHA KUNUNUA GARI TU
MDOGO MDOGO TU MAISHA NIKUJIPANGA,
UTASKIA WENYE WIVU ETI NIMEVUTA BANGI.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]NIMETOKA KUNUNUA PETROL NIMEBAKISHA KUNUNUA GARI TU
MDOGO MDOGO TU MAISHA NIKUJIPANGA,
UTASKIA WENYE WIVU ETI NIMEVUTA BANGI.
SafiMapenzi ni upendo + furaha + amani...kuridhiana na kujaliana hisia....Pesa zipo tu kusindikiza safari ya hayo yote.
Pole sana, RIP kwa waliofarikiGari la halmashauri ya Meatu limepata ajali mkiwa ikungi likitokea Dodoma lilikuwa na madiwani na mkurugenzi wa halmashauri ya Meatu walikuwa 8 kwenye gari watu wawili wamefariki dunia dereva na diwani wa kata ya Mwanuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23], maisha ni kupangaNIMETOKA KUNUNUA PETROL NIMEBAKISHA KUNUNUA GARI TU
MDOGO MDOGO TU MAISHA NIKUJIPANGA,
UTASKIA WENYE WIVU ETI NIMEVUTA BANGI.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ukiwa jeuri kuna jeuri zaidi yako
Gari liliondoka kariako kufika manzese konda akauliza kunamtu anashuka?
Dada moja akajibu tumeziacha nyumbani.tunamitandio tu!
Kufika mbele yule dada alie jibu nyodo akawa anashuka ubungo maziwa,akasema konda nashuka maziwa,konda akasema kayanunulie sidiria yasishuke...tembea dereva...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
R.I.PGari la halmashauri ya Meatu limepata ajali mkiwa ikungi likitokea Dodoma lilikuwa na madiwani na mkurugenzi wa halmashauri ya Meatu walikuwa 8 kwenye gari watu wawili wamefariki dunia dereva na diwani wa kata ya Mwanuzi.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] uliwahi kuwa konda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], konda nina 200 nakwenda Makumbusho...
Kondakta: Hiyo 200 nunua parachichi uteleze nalo mpaka Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125]ThubutuuuuView attachment 809035
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Moud bwana.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] uliwahi kuwa konda?
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app