Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Umetisha[emoji16] [emoji16]Wenye chuki wakikutupa majini ili wakuue hakikisha unarudi na samaki kuwathibitishia kwamba ujasiri wako ni zaidi ya chuki zao.[emoji23][emoji23][emoji4]
Inspire
Baki hapa angalau kwa mwezi mmoja utaelewa madhumuni ya uzi huuMpaka leo sijaelewaga dhumuni la huu uzi
Hajatisha kwa lolote. Tujue kwanza kama huyo anayetupwa majini anajua kuogelea ama la. Azawaisi hakuna kitu na badala ya kutoka na samaki ataishia kuwa chakula cha samaki [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Umetisha[emoji16] [emoji16]
Wakati ukitafakari hilo pia pokea likes kadhaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mpaka leo sijaelewaga dhumuni la huu uzi
Kabisa[emoji16] [emoji16] [emoji16] angezitupia za kutosha hapaBahati mzee Rutta hayupo hizi gif za MB 3+ zingekuwa zinatiririka kama mvua. Those good ole days....
Endelea kumwaga neno mkuu tuepukane na mambo sijui ya uji, parachichi, sijui fenesi, mara chenza nk[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ufunuo 22:13View attachment 809192
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], muone..Hajatisha kwa lolote. Tujue kwanza kama huyo anayetupwa majini anajua kuogelea ama la. Azawaisi hakuna kitu na badala ya kutoka na samaki ataishia kuwa chakula cha samaki [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Aisee sababu siijui. Sikuwahi kuwa na ukaribu naye. Alikuwa 100% committed kwenye likes na mambo ya kupiga porojo na kujenga urafiki na mazoea hakujihusisha nayo....Atakuja tu ipo siku
Mmm ndo umegoma kuniambia sababu ya kuadimika kwake?