Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], muone..
 
Atakuja tu ipo siku

Mmm ndo umegoma kuniambia sababu ya kuadimika kwake?
Aisee sababu siijui. Sikuwahi kuwa na ukaribu naye. Alikuwa 100% committed kwenye likes na mambo ya kupiga porojo na kujenga urafiki na mazoea hakujihusisha nayo....

Ila kuna kipindi alikuwa anatumia mafyekero kujiwekea likes kwenye post zake za zamani hivyo hakuwa na haja ya kuendelea kuposti huku...

Atarudi bila shaka. I hope huko aliko ni mzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…