Halina ubishi[emoji16] [emoji16] ni muda tuMuda ukifika utatulia. Sasa badilisha wageni nyumbani mwako na wanyweshe uji kwa kadri unavyoweza ila muda ukifika ndani utaweka na kutulia utatulia. Chukua tahadhari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Safari hii umetandaza mkeka kinyume na akili yako inavyokutuma. Safi sana. Utashinda !!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mimi leo sina timu. Yeyote atakayeshinda ama nalalia mtu au nalaliwa. Whicheva wei ai wini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba mnitambue kama team France, kwasababu za likes za hapa na declare interest tangu sasa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] umenenaworld cup ya mwaka huu unaruhusiwa kuhama timu hata dakika ya 119 boss usiwe na wasiwasi
Utaje acha mbwembwe[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahahaha! Mie kama kawa upande ule ule.