Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umeziona lakini dimpozi hizo. Zinatuamisha hata uji hizo...DC kwishnei [emoji16][emoji16][emoji16]
Dinner is ready ama?I’m right behind ya! [emoji124][emoji124][emoji124][emoji1]
Ulale unono bana!
Hatimaye dinner imeitika. Tupate angalau kamrejesho ka kishikaji basi jamani?[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]twende
Rip...Maisha yetu haya ni delicate sana wallahi.
Sante[emoji120][emoji120][emoji120]
Jpili njema
Na nyie je?
Watu wanauza mpaka viwanja na nyumba za urithi lakini mwisho wa siku jamaa wengine wanakuja wanabeba mzigo
Hatimaye dinner imeitika. Tupate angalau kamrejesho ka kishikaji basi jamani?
Ninja in da hausiWakuu Wa Likes Habari Ya UzimaView attachment 810259
Mwalimu kanikimbia. Sijamuona tangu mechi inachezwa.Ngoja kesho....[emoji38][emoji38]
Me naaubiri kale ka mrejesho ka mlaliano tu na mwalimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap, Ninja Katika Ubora WakeNinja in da hausi
Bofulo mama bofulo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeeh!!yaani hivyo vishimo vya mdako ndo vinafanya vichwa vidogo vifanye maamuzi?
Wanaume mu wadhaifu sana[emoji23][emoji23][emoji23]