JE WAJUA?: Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 85 anaishi katika hoteli ya kifahari nchini Switzerland inayogharimu Shilingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 91 Rais Biya aliyeitawala Cameroon tangu mwaka 1982 huitembelea nchi yake mara kwa Mara na huitisha kikao cha Baraza la Mawaziri mara 1 kila baada ya miaka 3 Kiongozi huyo ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais kwa muhula wa 7 .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.