That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,228
- 3,715
Hawakujui hao wapotezeeMimi ni mchawi wa hali ya juu walahi!
Aisee ile biashara ni ya hatari sana na inahtaj roho ngumu sana,,,Nimeanza kuiangalia hivi karibuni. Biashara ya unga ni ngumu na yenye ukatili mkubwa lakini mama naye yumo.
Huku kwema ndugu yangu. Huko vipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12][emoji12] *KUNA MTOTO AMEZALIWA SAIVI HUKO MWAKALELI ANAITWA ATUFARANSA MWAKORESHIA*
[emoji888][emoji888]
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ving'ang'anizi mnajuana !!!
Ndiye yeye mkuuNi huyu aliyewachimba mkwara kuwa New Orleans watapata shida sana na wakapata?
MisaKwa nini? Picha zangu zote zinapendeza sis. Sawasawa na za kwako tu [emoji16][emoji16][emoji16]
My Queen ni mwishoNifungulie PM nikuulize kitu kama unasema kweli....
Chenge huko nyumbani anaabudiwa na Wachawi. Kama we unamzidi basi we wa kimataifa na watu kama akina Mshana Jr watasubiri sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu umesahau humu post chochote upate likesMbona unarudia rudia sana,,,,