ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hapo sasaHahahhaha hawa jamaa huwa wasanii sana,,, halafu unakuta wanalalamika wanakosa soko,,
Hapo sasaHahahhaha hawa jamaa huwa wasanii sana,,, halafu unakuta wanalalamika wanakosa soko,,
Aisee pole sana ndugu yanguWewe acha tu ndugu yangu!
Maana marafiki mpaka ndugu, ogopa sana!
Ebhana harakati sana tu,, Tunamshukuru Mungu,,, tunapambanaNjema sana kiongozi viph harakati
Kwa kweli ndio Maana nasema wafe tu!Aisee pole sana ndugu yangu
Walimwengu ndo tupo hvyo,,, tunakuchekea usoni moyoni tumejaa unafiki
Hahaha kuwa makini na hiyo kauli.Ebhana harakati sana tu,, Tunamshukuru Mungu,,, tunapambana
Yule mtoto wa kike huwa anakuambia anakupenda sana?
Bonge LA songiMy fav!!!
Hahahhaha au ile kauli mtt anakuambia ujue mm nakupenda ila ww hujui tu,, bhasi mzee mzma unaweza ingia kingi mazima kumbe kuna ktu knatafutwa hahaHahaha kuwa makini na hiyo kauli.
In shaallah ISISKwa kweli ndio Maana nasema wafe tu!
Maana unakuwa huwa jui lakini Mwenye Enzi Mungu anawajua wote!
Ehhh Mola wangu napitishe kwenye njia ikupasayo milele mimi na kizazi changu na nchi yangu Tanzania walahi!
Umeicheck liniWhat Happened To MondayView attachment 811563View attachment 811564
Inabidi usimamie anachokiaminiHahahhaha au ile kauli mtt anakuambia ujue mm nakupenda ila ww hujui tu,, bhasi mzee mzma unaweza ingia kingi mazima kumbe kuna ktu knatafutwa haha
Mwaka jana mwishoni,,, sema naikubali sana,, mara nyingi nikiwa off mood lazma niichek hii, iko vzrUmeicheck lini
Sana aisee!!Inabidi usimamie anachokiamini
Hahahaha Jamaa wametupita sanaMwaka jana mwishoni,,, sema naikubali sana,, mara nyingi nikiwa off mood lazma niichek hii, iko vzr