Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
37293803_2154980018081099_207178648149557248_n.jpg
 
Alikufundisha huyu jamaa?

Physical Geography?

Samahani kama nimechanganya madesa
Hakunfundish,, nipo karbu na watt wake sana,,
Alikuwa anafundisha Geography na History
Alikuwa mwalimu wa Nsumba ila ni maarufu sana kwa masomo hayo hasa shule hz Taqwa, Bwiru, Lake,Ngaza na nyingne nyingi tu Mwanza

Ulikuwa unamfahamu bro,,? Jina lingne maarufu ni matovu
 
Back
Top Bottom