Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeona mahali wanafunzi wake wakimlilia. Wanafunzi wa kidato cha sita waliosoma Geography huko Musoma Alliance High School.Hakunfundish,, nipo karbu na watt wake sana,,
Alikuwa anafundisha Geography na History
Alikuwa mwalimu wa Nsumba ila ni maarufu sana kwa masomo hayo hasa shule hz Taqwa, Bwiru, Lake,Ngaza na nyingne nyingi tu Mwanza
Ulikuwa unamfahamu bro,,? Jina lingne maarufu ni matovu
Wape pole wanae. Baba yao kaacha maarifa yake kila kona na hilo ni jambo la kujivunia. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]