Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee pole sana ndugu yangu
Walimwengu ndo tupo hvyo,,, tunakuchekea usoni moyoni tumejaa unafiki
Kwa kweli ndio Maana nasema wafe tu!
Maana unakuwa huwa jui lakini Mwenye Enzi Mungu anawajua wote!
Ehhh Mola wangu napitishe kwenye njia ikupasayo milele mimi na kizazi changu na nchi yangu Tanzania walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…