Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona mahali wanafunzi wake wakimlilia. Wanafunzi wa kidato cha sita waliosoma Geography huko Musoma Alliance High School.

Wape pole wanae. Baba yao kaacha maarifa yake kila kona na hilo ni jambo la kujivunia. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Zimefika bro!!
Na hlo ni la kujvunia sana hapa duniani kwa kile alichokiacha kitakumbukwa milele[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
TETESI ZA USAJIRI BARANI ULAYA
Chalsea ya England imeingia vitani kuinasa saini ya kiungo wa Lazio ya Italia Sergej Milinkovic-Savic ambaye pia ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Serbia. Sergej kwa muda mrefu amehusishwa na Man united na Real Madrid, hata hivyo, kocha mpya wa Chalsea anamtaka mchezaji huyo kwa udi na uvumba na hivyo huenda akazipoteza ndogo za timu hizo mbili kumpata mchezaji huyo
 
Billioni 53 zinamuondoa Blind Man United. : Vilabu vya Manchester United na Ajax FC vimetangaza rasmi kukubaliana ada ya uhamisho ya kiasi cha jumla cha €20m sawa na billioni 53 za kitanzania kwa ajili ya usajili wa beki Dale Blind kurejea nchini Uholanzi. : Blind alijiunga na Manchester United akitokea Ajax miaka 4 iliyopita kwa ada ya €14m, na sasa anarejea kuitumikia klabu iliyomlea baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha Jose Mourinho.
 
Eden Hazard
Klabu ya Chalsea ya London inajiandaa kuzikataa ofa za Real Madrid na Barcelona ambazo zimepania kumg'oa Hazard raia wa Ubelgiji na ambaye ni nguzo muhimu hapo Stanford Bridge. Kocha Maurizio Sarri amepania kumbakisha Hazard kwa hali na maali ingawa mchezaji huyo aliwahi kutangaza kujaribu kutafuta changamoto kwingineko baada ya kuichezea timu hiyo kwa miaka takribani sita.Hazard baada ya kuiongoza timu ya taifa ya Belgium kupata nafasi ya tatu kwenye kombe la Dunia huko Russia atatoa msimamo wake. :-
Mashirika ya habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…