Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabao 169 yalifungwa.
Kwenye fainali za mwaka huu ni mechi moja pekee France, vs Denmark, ambayo haikutikisa nyavu ya timu yoyote huko Russia. Vinginevyo mechi zote zilikuwa na msisimko wa kutikisika kwa nyavu na hivyo kuongeza burudani kwa wapenda soka. Jumla ya magoli 169 yaliwekwa kimiani huku Mwingereza Harry Kane pekee akiweka kambani mabao 6 na kutwaa kiatu cha dhahabu na hivyo kuwatupa kabisa wachezaji wawili waliotabiriwa kutwaa kiatu hicho Messi wa Argentina na Ronaldo wa Ureno. Timu ya Ubelgiji imeongoza kwa kujikusanyia jumla ya magoli 16 kwenye fainali hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…