Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I texted my Ex 'Hi' and she quickly updated Status 'Doing fine without you' . See this girl oh ohh[emoji1][emoji1], who told her i want her back?
Jus wanted to tell her, i saw her dad in town today wearing my Cap she took.[emoji1][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
SI unajua kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery anamfukuzia kiungo wa Ufaransa, Steven N'Zonzi? Basi bana, majibu ya klabu anayochezea staa huyo, Sevilla wamedai hivi, kama hakuna Pauni 35 milioni mezani, hakutakuwa na mazungumzo ya dili hilo.
 
Mkurugenzi wa soka wa klabu ya Sevilla, Joaquin Caparros anajaribu kuweka msisitizo kwamba timu yao haiwezi kufanya biashara yoyote inayomhuusu N'Zonzi kama pesa iliyowekwa mezani haifikii kiwango wanachohitaji, Pauni 35 milioni. N'Zonzi amekuwa kwenye kikosi hicho cha Sevilla kwa miaka mitatu, akifunga mabao manane katika mechi 135 alizocheza akitokea kwenye sehemu ya kiungo.
 
Caparros alisema: "Steven amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake. Tulitumiana meseji wakati wa Kombe la Dunia na nilimpongeza kwa mafanikio ya Ufaransa. Bado hatujapokea ofa yoyote kwa ajili yake, lakini kila kitu kipo wazi tu, mkataba wake unahitaji ilipwe Pauni 35 milioni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…