Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwaachilia wafungwa wa kisiasa
Kupinga kuwakakamata raia katika mikutano ya hadhira.
Kuruhusu ushindani wa kisiasa nchini humo.
Kuzuia kubuni kesi zisizokuwa na ukweli na kuwazuia watu gerezani bila sababu.
Mtetezi na mwanablogu anayempinga Putin Alexei Navalny ameachia ujumbe wa video kwenye ukionyesha mmoja wa waandamanji walioingia uwanjani akiulizwa maswali ya kuchunguzi na maafisa wa polisi.
 
446639647_93110.jpg
 
Jamaa mmoja anaskika akizungumza kwa hasira na bwana Verzilov huku naye mwanawake aliyekamatwa akionekana akiwa katika hali mbaya akiwa amevaa sare zake za polisi.
"Mara nyingine natamani tungekuwa 1937" mtu mmoja anaskika nje ya kamera, kama njia ya kukubaliana na kipindi cha kuogofya na ukatili chini ya uongozi wa kiimla wa dikteta wa Kisovieti Joseph Stalin.
 
Back
Top Bottom