moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapana, jitamburishe tukupatie zawadi halisi ya hapaVIP mnanikumbuka
Hapana, jitamburishe tukupatie zawadi halisi ya hapaVIP mnanikumbuka
Heri kukosa uji kuliko kimdabuo
Heri kupaka ujiii kunywaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Heri kumnyima jirani anayetusimanga kisa ujiiii
Mkuu bado una ugeni hapa, nahau kama hizo ndizo zinazoupa uhai uzi huu na kuepusha ban za bure bure. Jitahidi uvizoee[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]kimdabuo ndo nn
Kwani hao tu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] pia kawatafuna wenzake[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kwa kweli yaan hapo katafuna akina andjul,shimba,kijana mpole,ninge,jiran,moud,kk,mzee wa liver na wengineo wa mbelen daaah kaua uzi wetu wa likes miaka 20 ijayo shuainiii zakeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaenda mbio mbio sana mkuu, ungetulia kidogo tu ungeelewaMnazungumzia ishu gani???
Duuuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji3] [emoji3]
Umeona anavyotuua[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,, kwa hyo katafuna wakiume tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] habari mzee babaNaona leo humu key word ni UJI! Hivi mnazungumzia uji gani, wa ulezi?
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Uji huu huu wa mchele mweupe au uji gani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eee akina carba,ledada,kito,pyaar wajanja sana walibaki ndan ndan baada ya kumshtukia mroho wa uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji125] [emoji125] [emoji125]TUCHEKE KIDOGO!!! Jamaa alimkamata mwizi jikoni kwake sasa alipotaka kupiga kelele ya mwizi mwiziii yule mwizi alimwambia mwenye nyumba mimi ni YESU, unakumbuka katika BIBLIA nilisema nitakuja kama mwizi usiku? Ndo nimekuja mara ya pili nawe ubarikiwe kwa kuwa nimekukuta ukikesha kama nilivyo waambia kesheni jamaa akamuangalia mwizi kisha akatabasamu akamjibu akamwambia pole kwa kuwa umeangukia tena mikononi mwa pilato kwa mara ya pili nami nitakusulubisha usiku huu huu...!!! Mwizi akazimia pale pale .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Heeh!!! na makofi tena,,onesha mfano nione
Asee, Tumshukuru Mungu kwa kila jambo kwakweli
Shida ni kwamba huyo Bongo kafanya nini ili kuwasaidia masikini katika jamii yake? Badala yake ni mmojawapo wa maraisi mafisadi wakubwa wa Afrika. Ubinafsi na unafiki wa kutishaAsee, Tumshukuru Mungu kwa kila jambo kwakweli
Wewe huwezi meza ule uji?Anakula watoto na anajisifu ana iq kubwa
Daaah!!
Hivi unaanzaje meza ule uji??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiiii