Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jimama yaani ukienda kuliogesha bafuni ni Raha tupu
Omar Bongo na huyu Ali Bongo Ondimba ambaye ametokea kwenye dhiki wote ni mafisadi.Shida ni kwamba huyo Bongo kafanya nini ili kuwasaidia masikini katika jamii yake? Badala yake ni mmojawapo wa maraisi mafisadi wakubwa wa Afrika. Ubinafsi na unafiki wa kutisha
Mafeni kama ya Ngole wa Ntuzu yakiwashwa ni hatari.Usiku wa kuzima taa kisha kina dada wanawasha mafeni [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndo hapo sasa. Maraisi wa Afrika. Hawana maono. Hawajali mambo ya legacy. Imagine mtu kama huyu halafu ajitolee kabisa kabisa kupigania watu masikini nchini mwake. Ingekuwa hadithi ya kutia moyo sana !!!Omar Bongo na huyu Ali Bongo Ondimba ambaye ametokea kwenye dhiki wote ni mafisadi.
Nazipenda hizi basi tu...Zao hili kuna dalili za kukipasua vipande vipande chama furani cha siasa kusini mwa Tanzania View attachment 812213
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Majimama yanapenda uji. Mapole. Hayana maneno mengi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mafeni kama ya Ngole wa Ntuzu yakiwashwa ni hatari.