Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Some girls are really funny, you expect your boyfriend to be rich at his 20s yet your father is still broke at his 60s. My sister what are you smoking.
YupoooWapi babe s
Kumbe ulikuja mwenye biasharaBiashara ya nani hiyo? Hebu kalale wenzio wameshalala,unaangalia katuni mpaka saa hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaahhaah the one and onlyHabari humu!!!
Bageshi. Leo Kapare kamekuachia nawe angalau utoke nje ya geti? Tulikwambia lakini kuwa kuolewa na Vipare hivi ni shida utakwenda kuteseka hukutusikia. Pole sana !!!Habari humu!!!
Unaniita kuja kumuona dadangu mwenyewe?SHIMBA, Andjul, Hochminh njoooni mrembo kaingia huta jua kama ana mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha ukoloni kwa shemejiyo.Unaniita kuja kumuona dadangu mwenyewe?
Heshima ziro...
Yaani ukija na yeye masikini ndiyo anajitokeza. Huwa unamchunga au inakuwaje? Hawezi kuja kwenye uzi peke yake bila ya wewe kuwepo? Ni fyekero? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️SHIMBA, Andjul, Hochminh njoooni mrembo kaingia huta jua kama ana mtoto.
Mkuu kwani ukiitwa ndio umevunjiwa heshimaUnaniita kuja kumuona dadangu mwenyewe?
Heshima ziro...
Mwaaah!!![emoji8]Hahahaaahhaah the one and only
Bora umuambie naona umisungwi unamsumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha ukoloni kwa shemejiyo.
Mashemeji wengine wanastahili hata kutembezewa kibano tu kwa kweli. Ananiita eti nikamuone dada. Kama siyo dharau ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha ukoloni kwa shemejiyo.
Hahahahahahahah! Tulikuwa.........Bageshi. Leo Kapare kamekuachia nawe angalau utoke nje ya geti? Tulikwambia lakini kuwa kuolewa na Vipare hivi ni shida utakwenda kuteseka hukutusikia. Pole sana !!!
[emoji16][emoji16]Unaniita kuja kumuona dadangu mwenyewe?
Heshima ziro...
Hahah nimemuambia Kaka yako alikuulizia au nimekosea shemeji???Yaani ukija na yeye masikini ndiyo anajitokeza. Huwa unamchunga au inakuwaje? Hawezi kuja kwenye uzi peke yake bila ya wewe kuwepo? Ni fyekero? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kuniita kuja kumuona dada alivyopendeza utafikiri hana mtoto? Ndiyo ni kunivunjia heshima. I know my sis is naturally gorgeous. What is your point? Geez [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Mkuu kwani ukiitwa ndio umevunjiwa heshima
Naona Kaka yako kawa mkali bila sababu.Mwaaah!!![emoji8]