Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha! Nyarugusu tena?
Sikujua kama wewe ni Dada yangu. Huyo jamaa kama ni mtata hivi kwa mdogo wake je kwako itakuwaje
IMG_20180718_153806.jpg
 
Wabaya wangu utawajua tuu. Kama ni mimba ilasha pita sasa tuna lea mtoto. Raha sana kuzaliwa na Dada
Lazima ulipe mahari ili upunguze wabaya wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wametaka kumnyakua mtoto ukajifanya umewahi, si tumebaki kama fisi, tunavizia, tukitafuta fursa tu. Shindwa watu wabebe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom