Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahahaha! Nyarugusu tena?Usimdharau shemeji yako, swaga ng'ombe mpaka ufike nyarugusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha! Nyarugusu tena?Usimdharau shemeji yako, swaga ng'ombe mpaka ufike nyarugusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unasema mkuu nakuja inboxTanga leo hakuna kula wala kuoga. Maji machafu kweli kweliView attachment 812351
DuBora kahawa tungekunywa, maji yana nuka ajabu. Ndio yanayotoka kwenye bomba
Kifungo cha maisha kitakacho ambatana na kazi za kujirisha mwenyewe kinamnyemele [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha!! Kwa mapana na marefuView attachment 812464
Bado kwangu Mimi ni mwanasiasa bora kabisaMh. Harrison Mwakyembe aliandika kazi nzuri komavu ya kifasihi. Ni mojawapo ya riwaya za mwanzo mwanzo za kitashtiti (satire) katika fasihi ya Kiswahili. Alipojitumbukiza kwenye siasa naona na kipaji cha uandishi akakitelekeza.
Hahahaha!! Ajipange kulimia menoKifungo cha maisha kitakacho ambatana na kazi za kujirisha mwenyewe inamnyemele [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mkuuAsante kwa orodha ya vitabu mkuu. Miaka ya 70 na 80 kilikuwa kipindi chenye afya sana katika fasihi ya Kiswahili. Sasa mambo yamehamia Kenya ambako kiwango cha usomaji wa vitabu angalau kina unafuu kidogo.
HahahahaKeshasahau kuwa mwenyewe juzi juzi tu hapa alikaribia kwenda huko huko?
View attachment 812374
Wabaya wangu utawajua tuu. Kama ni mimba ilasha pita sasa tuna lea mtoto. Raha sana kuzaliwa na DadaUmememvunjia heshima sana, yani aje aone mimba wakati mahari yenyewe hujalipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahàhhaaa. Kaenda kuchota majiBaada ya kukosekana maji tanga ukaona bora umtoe ndani!![emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni mtaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nafuata mila za kwao. Huwa wanakuja kuchagua wenyewe kwenye bandaUsimdharau shemeji yako, swaga ng'ombe mpaka ufike nyarugusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usicheke[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha wana nijua vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], utashangaa unageuziwa kibano wewe...Jipange, au uniq ni lege lege?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimelipa Ng'ombe tena waka bakiza vindama nikakuza waka zaa wakaja waka wachukua tena sasa hivi SYB anataka kuchukua banda zima. Kweli aje achukue nitafuga wengineAu ulilipa mahali ya ahadi?[emoji23][emoji23]
NjooUnasema mkuu nakuja inbox
Waache hao kwanza ndio waliokuwa wana mdanganya Babe S wangu. Sio watu wazuri haoHahahahaha! Nyarugusu tena?
Hahahahaha! Polee, ndo utu uzima huo.Nimelipa Ng'ombe tena waka bakiza vindama nikakuza waka zaa wakaja waka wachukua tena sasa hivi SYB anataka kuchukua banda zima. Kweli aje achukue nitafuga wengine
PoleeWaache hao kwanza ndio waliokuwa wana mdanganya Babe S wangu. Sio watu wazuri hao