Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaa point ujue kuwa natunza maana huishi kunisema. Ooh unamfungia ndani oooh vimepanda vimeshuka. Leo kaja huna hata raha kunikoromea tu
Baada ya kukosekana maji tanga ukaona bora umtoe ndani!![emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni mtaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Boubacar Diallo Telli
Diallo_Telli.png
 
Naona mmeishiwa huko kwenu njoo uchukue zizi lote nitaanza upya
Usimdharau shemeji yako, swaga ng'ombe mpaka ufike nyarugusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wasomaji wamepungua mkuu, huwa nahudhuria tamasha la vitabu hapa, hali ni mbaya ingawa waandishi nao wa miaka hii ni tatizo kubwa


Hapa nani anamtegemea mwenzake zaidi mkuu?!

Je ni Waandishi wengi hupelekea kutokea wasomaji wengi au Wasomaji wengi hupelekea kutokea waandishi?
 
Back
Top Bottom