Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wabaya wangu utawajua tuu. Kama ni mimba ilasha pita sasa tuna lea mtoto. Raha sana kuzaliwa na Dada
Lazima ulipe mahari ili upunguze wabaya wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wametaka kumnyakua mtoto ukajifanya umewahi, si tumebaki kama fisi, tunavizia, tukitafuta fursa tu. Shindwa watu wabebe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…