Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mali ya Madiba hii. Ni mjasiriamali. Anashona na kuuza nguo hizi yeye mwenyewe. Baada ya muvi ya Black Panther kumekuwa na mvuvumko sana hasa kutoka kwa watu weusi na sasa anauza nguo hizi hata Marekani ambako zimeanza kukubalika hasa kwa watu weusi.
Mlete Bariadi tule naye mlenda wetu pendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipenda majimama lazima uwe una body flan hv,,
Ukiwa huna body na uko mwembamba basi uwe na fenesi la kutosha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mara nyingi ukiwa mwembamba kisha mrefu fenesi linahusika. Na ukiwa na fenesi mjimama lazima aombe pooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mwalimu. Kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kupinga hili jambo?

Kuna kitu mahali mpaka hiyo michirizi ikabatizwa michirizi ya utamu. Watu siyo wajinga ati !!!
Kwakifupi baadhi ya watu huwasisimu,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ni kama ulivyosema kabla. Hatufanani. Ukisema kibaya watu hukisaka kama kilivyo
 
Na aje tu, namba iko wazi kwa ajili yake
 
Yaani ukija na yeye masikini ndiyo anajitokeza. Huwa unamchunga au inakuwaje? Hawezi kuja kwenye uzi peke yake bila ya wewe kuwepo? Ni fyekero? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anapenda kujifia sasa, hayo mafiati anayaweza bro wangu tu
Mimi na vimbaumbau ni damu damu milele
Bro. Sema nikupe codes ukajaribu halafu unipe mrejesho...magari makubwa haya injini zake huwa hazipati moto haraka ila zikichemka zinachemka sawasawa na zinachukua muda mrefu kupoa. Ukishajua jinsi ya kupasha moto injini na jinsi ya kuzipoza basi ushashinda. Utakuwa unatafutwa hata ukiwa kwenye mkutano utachoropolewa ukasaidie kupandisha na kupoza moto wa injini.
 
Sipati picha bro wangu Shimba atakavyo tamka ile Jizazi (in kolomije's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumshukuru Mungu carba,, wote tu Wazma wa afya tele!!
Mambo mengine fresh lkn
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwenye haya mambo bro ni kila mtu na lwake. Faudu kivyako vyako bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…