Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipa ambaye alitazamiwa kuwa namba moja na Kocha Jurgen Klopp, Loris Karius ameonekana kuwa dhaifu katika lango la wababe hao wa Anfield na alionyesha kiwango duni katika pambano la fainali la ubingwa wa Ulaya dhidi ya Real Madrid Mei mwaka huu.

Kipa mwingine wa Liverpool, Simon Mignolet naye haaminiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…