Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmiliki wa Kampuni moja nchini Marekani amempatia mfanyakazi wake gari mpya baada ya kutembea kwa miguu umbali wa kilomita 32, ambaye alitembea umbali huo usiku mzima akienda kazini

Chanzo: bbc swahil
View attachment 813255
Kilomita 32 kwa usiku mzima?
Aje kijijini kwetu ya kwenda kilomita 28 mjini kuuza kokoa na kurudi na kiroba cha unga kichwani kilomita 28 zingine kwa mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…