Hahahahaha ,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu yule golikipa ni jembe ni vile tu amekosa beki madhubuti kama ulivyo ukuta wa liver hivi sasa. Kwenye soka usiangalie golikipa amefungwa goli ngapi angalia mazingira ya magoli yenyewe.Liverpool wamelipa pauni 67 Milioni kumnunua kipa waliyemfunga mabao saba ndani ya dakika 180 Champions League
Chama langu lakini kwa hili wamekurupuka kabisa
Ukiona hivyo jua hakukua na namna nyingine, hasa kutokana na makosa makubwa aliyofanya KariusKwanza klop sio muumini wa kununua wachezaji wa bei mbaya sijui kawaje kwa hili
Kinaanza kuisha isha hicho mkuu, vipi kwema lakini mkuuKibaridi kwa mbaaali
Aminijumaa njema na ya baraka
kweli..salama kabisa sijui kwakoKinaanza kuisha isha hicho mkuu, vipi kwema lakini mkuu
Kwangu nashukuru kaka, tunaendelea vemakweli..salama kabisa sijui kwako
Asee kumbe nguli huyu ametangulia mbele yaki. RIP
Gudi asee [emoji3]Safi ledada, niaje mitaa hiyo
Pole kwa kikohozi [emoji23][emoji23]Koho koho koh
Wa juice ya stafeliMchana
Siyo wewe unayesemaga kuwa haya mambo yasubiri mida ya wanga? Eti mida mingine watoto wanakuwa bado hawajalala?Koho koho koh