myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amen [emoji120] [emoji120]*Tumsifu Yesu Kristu*
*Ikiwa Leo ni siku ya Ijumaa ni siku ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.* *Upendo wa Kristu kwetu hauna mipaka wala mwisho, Upendo wa Mwanadamu ni wa masharti na una mwisho wake.*
*Kristu alitupenda upeo, hata akaitoa nafsi yake kufa Msalabani kwa ajili yetu sisi.*
*Leo hii tumekuwa ni watu wa kulipishana visasi, Mmoja akimwaga ugali mwingine anamwaga mboga.* *Maisha yetu ya leo yamejaa Usaliti mtupu, Uwongo umetawala vinywa vyetu ,kila kuchao siku hizi kilichobaki ni kuumizana, kunyoosheana vidole na kulaumiana.*
*Hayo yote yanaujeruhi Moyo Mtakatifu wa Yesu. Ishi na kila mtu vizuri, wapende watu wote, ishi kwa roho ya Msamaha, wasamehe bure wale watu wote waliokukosea , utawabeba mpaka lini. Utaumia mpaka lini!*
*Ee Yesu tunakuomba Damu na Maji yako visipotee bure bali vitupatie uzima wa Milele.*
*Moyo Mtakatifu wa Yesu Utuhurumie.*
*Moyo Mtakatifu wa Yesu ufalme wako ufike*
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umeshawai vuta bangi hadi ukipata siafu kwa Barabara unasimama kwanza unaziangalia alafu unazishow, piteni kwanza nyi ndo wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hala[emoji3]
Asavali....Hizi mbegu zisije zikaadimika hizi ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 814031
Eeeeee.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]watu wanatumia tangu zamani.....sio mpya
Kama jana, salaam mkuuKama kawaida
DuaraDunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*BORA UKOSE FEDHA UTAKOPA HATA BENKI*[emoji548]
*KULIKO UKOSE NGUVU ZA KIUME, UTAMWAZIMA NANI
*WAKATI KILA MTU ANAKAZI NAZOO* [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutafanya sherehe, siku nzima hakutakuwa na kazi[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Tukinunua hii
Tutaifanyia matambiko
Hata sijui wamelaliana kifrensikuroshia?!!! Haya mambo hayaaa....Ndo raha ya kukuwa vimbaumbau kakiti kadogo hako mnalala wawili fresh tu na mbanano[emoji124][emoji124][emoji124]
Shukrani sana [emoji120]poleni wakulima woote
ledada [emoji137] [emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema mkuu, habari yako?Habari za weekend wakuu