sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
Mmmmmh alimwambia nani kabla yanguManeno hayo umeandika wapi?
Maana yanajirudia kwa kila mwanamke.
Mmmmmh alimwambia nani kabla yanguManeno hayo umeandika wapi?
Maana yanajirudia kwa kila mwanamke.
Akununulie tu shosti ntakuja kupanga[emoji23] [emoji23]Mwenzio nanunuliwa nyumba huko nikihamia nitakupa mualiko
Hhahahahaah Aleyn vipi tenaMjusi wewe, kichwa kimetibuka kama kichwa kichafu.
Ukumbi mzima watu watakimbia wakimuona kichwa kichafuTutakutana ukumbini nipo ndani ya shela ukimletea zawadi ex wako Kichwa Kichafu
Nasema tena. You are always calm, collected, wise and jovial. Hata nashangaa ilikuwaje binti makini kama wewe ukaangukia mikononi mwa Kichwa Kichafu. You deserve a decent man who can match your intellect and sense of maturity. Dah !!!Naona umeamua kuchanganya jinsia yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nisamehe kama nilikukwaza leo andjul...
Ha ha ha ha ha ha tapeli huyoManeno hayo umeandika wapi?
Maana yanajirudia kwa kila mwanamke.
Hawanipati ng'oBaby nadhani unaona wanampigia mbuzi gitaa
Kana punguza stress kwakweliAiseee, haka kauzi katamu sana
Aina noma kakaPqmoja mkuu.
Sambaza likes kwa wanauzi kuonesha fadhira zako
Huyo ni adui yangu toka tunasoma chekecheaMmmmmh alimwambia nani kabla yangu
Una stress za nini honey?[emoji23] [emoji23] hajui kama nina steresii na mimi leooo??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kadi atakuletea baby wanguNialikeni nije kucheza kwaito...ila kichwa naninyima fursa nyingi leoo uuwiii
Na Mimi nataka niwe wa upande wa pili kweli kweliView attachment 533737
Duh mimi ni Goddess kweli kweli
Nilipotea tu Shimba [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasema tena. You are always calm, collected, wise and jovial. Hata nashangaa ilikuwaje binti makini kama wewe ukaangukia mikononi mwa Kichwa Kichafu. You deserve a decent man who can match your intellect and sense of maturity. Dah !!!
Kwahiyo wewe mbuzi?Baby nadhani unaona wanampigia mbuzi gitaa
Yeye ni kokoro. Hachagui.Maneno hayo umeandika wapi?
Maana yanajirudia kwa kila mwanamke.
HahahahaYeye ni kokoro. Hachagui.