moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Kuna tofauti ya tundu lisu na tundu lanyoka wajuzi mnijuze
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Kuna tofauti ya tundu lisu na tundu lanyoka wajuzi mnijuze
Saivi nataka nianze kuimba mapambio mana sio kwa kuachwa huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila najua me na wewe tutakutana wapi[emoji125] [emoji125] [emoji125]Changamkia fursa hiyo mke mwenza
Kwako nimekufa nimeoza nimefuka kwako mpenziUkiniacha babe utanitia aibu jamani mi nimekufa nimeoza kwako
Mjusi wewe, kichwa kimetibuka kama kichwa kichafu.Usijali mkuu, huwa naamkia nilipo lalia. Nikiamka tu Nakutwanga na like, sawa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli kabisa. Maisha haya Molla hakupi vyote....
Mzee jina lako linajirudia kwny likes zangu, safi sanaToa likes pata likes ndio utaratibu wa uzi
Ha ha ha ha ha wanaume suluar ngoja tukae pembeni.Mwanaume mashine[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Tiba anayo my babe KichwaBinti...binti....binti unahitaji tiba weye.
Naona umeamua kuchanganya jinsia yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nisamehe kama nilikukwaza leo andjul...Usijali mkuu, huwa naamkia nilipo lalia. Nikiamka tu Nakutwanga na like, sawa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji23] [emoji23]
Hilo ndio tatizo sugu la Aleyn, niliaga imenibidi nirudi. Anakupenda ili iweje? Kwanini tunaharibiana usingizi?Aiseeh,nashukuru kwa upendo Aleyn
Mkuu kwema lakini nipo naogelea mapenzi ya sammyluvWewe sio mtu mzuri.
Mpe tiba aachane na huyu mganga wa kienyeji kichwa kichafuBinti...binti....binti unahitaji tiba weye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nizubae tu kwakweli kibiti napaogopaHahahahha huyu mwenzio amezubaa, sio mjanja mjanja. Hataki kupanda mabus ya Mkoa kuja kibiti kula matunda.
Penda sana my future wifeMwanaume mashine[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Kichwa kichafu anazidi kuwanasa tu warembo wa humu ndani, sijui kawapa niniNipo hapa Koromije mkuu...
Wewe
je?
Tutakutana ukumbini nipo ndani ya shela ukimletea zawadi ex wako Kichwa KichafuSaivi nataka nianze kuimba mapambio mana sio kwa kuachwa huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila najua me na wewe tutakutana wapi[emoji125] [emoji125] [emoji125]