Jibu linaumiza hiliiiii, utafkiri hujanielewa nnachozungumza.Aiseeh,nashukuru kwa upendo Aleyn
Jibu linaumiza hiliiiii, utafkiri hujanielewa nnachozungumza.Aiseeh,nashukuru kwa upendo Aleyn
Angalia asigeuke MarioMpenzi haya maneno si yameandikwa kwenye kanga
Aisee basi ngoja nigeukie kwengineNdio
SHIMBA YA BUYENZE huyu wa bush amefikaje humuUnamsalimia shimba ya buyenze ili iweje?
Usiku mwema kiongoziJamani naomba niage, kwa mapenzi ya Mungu naomba yakatimie yale yote yaliyo mema. Tusameheane tulipo kwazana. Mungu atukutanishe tena kesho tukiwa na afya njema. Usiku mwema wote
Changamkia fursa hiyo mke mwenzaAiseeh,nashukuru kwa upendo Aleyn
Nipo mkuu na baby sammyluvMkuu Kichwa kichafu upo wapi?
Usijali mkuu, huwa naamkia nilipo lalia. Nikiamka tu Nakutwanga na like, sawa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji23] [emoji23]Amen, tusameheane tulipokwazana. Usiku mwema Mkuu ila najua nimepoteza likes kadhaa kutoka kwako.
Sory kama jobu limekuumiza mkuuJibu linaumiza hiliiiii, utafkiri hujanielewa nnachozungumza.
Mwanaume mashine[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444]Wewe kweli kichwa kichafu, wanakupendea nini hawa mabiti humu ndani?
Hahahahha huyu mwenzio amezubaa, sio mjanja mjanja. Hataki kupanda mabus ya Mkoa kuja kibiti kula matunda.Changamkia fursa hiyo mke mwenza
Utakufa kwa vivuUna bahati mbaya mwanamke
Binti...binti....binti unahitaji tiba weye.Na wala hayaumizi
Wewe sio mtu mzuri.Nipo mkuu na baby sammyluv
je?Mkuu Kichwa kichafu upo wapi?