Wacha waseme usiku watalala labda wakiwa walinziKasema ananioa na ataninunulia nyumba kibiti
Jogoo wa shamba, hawiki mjini[emoji6]Kuku mgeni hakosi kamba mguuni!
Mzee wa data nakuona
Kesho nawe utakuja unalia hapa umenyang'anywa pete anakwenda kuvishwa mwingine...and the conveyor belt keeps on rolling....
Kama kawaNdio Mkuu, tena mida hii unatembea kwa speed kali mno.
Mchina huu mwaka utakufa kwa vivuMama weee!
Neno hilo kazoea kulitumia
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka kweliKuku mgeni hakosi kamba mguuni!
Mbna mshangao heavy??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ulikopita kote umeteleza laaziz
Najua basi! Ngoja wataalamu watakujuzaHivi bata anaatamia kwa muda gani Mkuu?
Bado hujapataIpi tena?
NakupendaKama kawa
Aisee , ndio nmemskia kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa naona unajilipua...unamjua mzee wa liver wewe??
Ngongongare!Astala vista
Sema mkuu. Una kipaji cha ajabu na hawa dada zetu. Yaani kila siku unaoa na kuacha. You da man bro. Sisi wengine hata wa kurumangia hakuna!Mzee wa data nakuona