Kwani si huwa inapangwa mapema?? Kama ndivyo basi pia za kwetu tutajiwekea hata vibubu kidogo kidogo mpaka tutatimiza malengo...Hatutaki kuwachosha[emoji23]Nanyi zamu yenu ikifika hatuwachangii [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuko pamoja kamanda. Superpack ndo habari ya mjini [emoji16][emoji16][emoji16]
Utamsikia anakuja na kauli zake za usiku wa ujiRolo modo wake nae sina imani naye kwa wiki mbili mfululizo hizi... Napitaga kuchungulia japo kimya... Ninayo yashuhudia kwa Rolo modo najiishia tu kusema "hiiiiiiiii"....