Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Husaidia kupunguza uzito , kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza kolesto mwilini kwa sababu ina kiwango kidogo cha kalori na pia huzuia shinikizo la damu na kutibu anemia. Hutibu kuhara, ugonjwa wa homa ya manjano, hurekebisha presha ya kupanda na husaidia katika mmengenyo wa chakula kufanyika vizuri. Kwa wale wanaosumbuliwa na gesi tumboni wanashauriwa kutengeneza juisi ya pilipili hoho wakichanganya na juisi ya spinachi.