Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

36926695_192177414973760_7824642527331352576_n.jpg
 
Huko kucheleweshana ndo kuzuri ohooooo
Sasa we unataka ukirudi tu ukute kashabong'oa eti baby hebu renga basi,khaaa!haina hata mzuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hivyo hata haihamasishi wala msisimko haina
Kucheleweshana tu.
Kuna shida gani kuniambia tu "mpenzi,leo konokono hashikiki kirahisi, anatakiwa akaushwe",yaani hapo kakonyagi/k vant kanamiminwa kuhamasisha misuli itutumuke, ipate moto kwa ajili ya kumkausha konokono.
Mnatuchosha na mbwembwe zenu... "Tukubhombagha jijijho"?
 
Huko kucheleweshana ndo kuzuri ohooooo
Sasa we unataka ukirudi tu ukute kashabong'oa eti baby hebu renga basi,khaaa!haina hata mzuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hivyo hata haihamasishi wala msisimko haina
Khaaaa kama wale wanaojifichaga vichakan,chap chap mchezo unaisha bila kona wala freekick.[emoji124] [emoji124]nilikua napita tu mie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee

Am fain anko,long laivu uzi wa likes na memba wake woooteeee.

Mambo ni full kama uniq hapaView attachment 814296
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila ka-uniq ni katata sana... Babe S ni mvumilivu sana yule mama!!! Sijui kwanini Zari amekata tamaa mapema kwa Diamondo.
Kuna haja Babe S ya kukutana na Zari ili ampe mbinu ya kuishi na vitoto vya wamama wenzao...
 
Zari bana alitaka mapenzi na hela cheki jamaa anavyozipeleka bila kupenda full kujipendekeza kama sio yeye aliyekua anajiita sukari ya warembo.babe s kataka mapenzi tu maana kama ni hela uwiiii mpare ni nomakwa ubahili
 
Back
Top Bottom