carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mpango ni kuto kupotea tena[emoji23] [emoji23]Hahahahahaha kwahiyo una mpango gani sasa Mama?
Mpango ni kuto kupotea tena[emoji23] [emoji23]Hahahahahaha kwahiyo una mpango gani sasa Mama?
Ha ha ha ha ha ha yaani hapa kulala natamani, kuchat natamani. Haka kauzi hatari.Mi nimekula cm ipo mkononi
Ndo huyo shem kumbe keshakwambia mipango yakeNani anakununulia nyumba? Asiwe kichwa kichafu tu
HahahahaUnafikiri kuna mtu zaid ya kichwa hapo??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hapa napotea njia[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Achana na hao waganga wa kienyeji akina kichwa kichafu, njoo huku kwetu kwenye chama chetu cha mauaji huku kibiti, ukiua mtu unapigwa milion 30 hapo hapo.
[emoji125]Sizitaki mbichi hizi
Huyo mshamba wa kichwa kichafu nimpeleke wapi? Mimi kwako nimefika.Ushaamia hapo tena??
Sammy niache jamani khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sizitaki mbichi hizi
HahahahahahahhahahahaMpango ni kuto kupotea tena[emoji23] [emoji23]
Haka kauzi ni zaid ya cocaineHa ha ha ha ha ha yaani hapa kulala natamani, kuchat natamani. Haka kauzi hatari.
Kwahiyo hauna mpango wa kurudi????Mpango ni kuto kupotea tena[emoji23] [emoji23]
Mkuu huyu kigori acha tu japo kichwafu ila moyo anasafisha kweli kweliUkumbi mzima watu watakimbia wakimuona kichwa kichafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sammyluv wewe mungu anakuona ujue??
Namjua kabla yako binti,Haniumizi kichwa tamu yangu