Anawacheki tu,, anasema hiiiiiii[emoji23] View attachment 814636
Dada ametoka soka la Mlandege Iringa kujipatia kitoweo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] View attachment 814636
Sijaharibu bwana, kuna wengine wanapenda walio usio UKOKO.Hahahhaa
Nlikuwa nafatilia kwa makini sana na yule jamaa,,, sema hapo kwenye ukoko,, ndo umeharbu biashara ya mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee ukoko huu umepitiliza sasa,, hapo si hadi mtaa wa pili wanasikia kelele
Eee ndo safi kabisa watajuaje kama jana tulikula wali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee ukoko huu umepitiliza sasa,, hapo si hadi mtaa wa pili wanasikia kelele
Yap,, wapo wengi tuSijaharibu bwana, kuna wengine wanapenda walio usio UKOKO.
AmenShukrani binti mpole!! Ubarikiwe
Njema kabisa....Shukrani kwa muumba.Yap,, wapo wengi tu
Habari yako Pyaar?
Habari za weekend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eee ndo safi kabisa watajuaje kama jana tulikula wali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njema kabisa....Shukrani kwa muumba.
Unakula ukoko mpaka mashavu yanatapakaa mafuta.[emoji23]