Mkuu ningendeko huku kwema, za weekendInavutia aisee
Niaje bro moud
Huku kwema kabsa,, baridi na jua kwa mbali,, vp huko weekendMkuu ningendeko huku kwema, za weekend
Matandu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aisee,, ukoko uko vzr sana
Ule ukoko wa juu huwa unaitwaje? Mfano kama umebanika wali,, wakati wa kupaliwa kwa juu pale huwa kuna ukoko pia
Yap!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile ni habari nyingine tenaMatandu..[emoji23]
Vyote hvyo unavikosa kwenye hlo jiko la yule jamaa?Matandu..[emoji23]
Nakumbuka kipindi hichoooooooooo, nilikuwa niko makini sana kuwahi matandu kabla wali haujageuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Basi mpishi wa siku hiyo anakuwa anajua ratiba ya matandu, mnajikalisha pembeni ya jiko mkimuhimiza achochee moto kwa sana.Yap!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile ni habari nyingine tena
Huku pia wenyeji wanadai kuna baridi ingawa huenda ikawa siyo kali kivileeHuku kwema kabsa,, baridi na jua kwa mbali,, vp huko weekend
Unavikosa aisee, ila unaweza ukanunua ki charcoal stove kwaajili ya matandu tu.[emoji23][emoji23]Vyote hvyo unavikosa kwenye hlo jiko la yule jamaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka kipindi hichoooooooooo, nilikuwa niko makini sana kuwahi matandu kabla wali haujageuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Basi mpishi wa siku hiyo anakuwa anajua ratiba ya matandu, mnajikalisha pembeni ya jiko mkimuhimiza achochee moto kwa sana.